Wednesday, 25 November 2015

BARCA WAZIMA AS ROMA,ARSENAL WANG'AA.

Image copyrightAP
Image captionSuarez akisherehekea kufunga bao dhidi ya AS Roma
Barcelona wakiwa nyumbani wamechomoza na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya AS Roma katika mechi ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya.

KILIMANJARO STARS YACHANJA MBUGA CECAFA.


Kenya
Image captionKenya leo itachuana na Burundi
Michuano ya Cecafa iliendelea tena hapo jana kwa michezo miwili katika hatua ya makundi, Kilimanjaro Stars wakiandikisha ushindi mwingine.

2015 INAVIWANGO VYA JUU ZAIDI VYA JOTO DUNIANI.




Image copyrightWMO
Image caption2015 inaviwango vya juu zaidi vya joto duniani

2015 ndio mwaka uliorekodi viwango vya juu zaidi vya joto duniani.

WENGER:TUNA MATUMAINI YA KUFUZU.


Image copyrightEPA
Image captionWenger
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger ana imani kwamba klabu yake itafuzu katika kundi la vilabu 16 katika kombe la vilabu bingwa Ulaya baada ya kujiweka katika hali ya ushindi wa lazima dhidi ya Olympiakos.

WATOTO WANAOZALIWA WIKENDI HUFARIKI ZAIDI UK.


Image captionWatoto wanaozaliwa wikendi nchini Uingereza hufariki sana ikilinganishwa na wale wanaozaliwa siku za juma
Watoto waliozaliwa wikendi iliopita nchini Uingereza wana hatari kubwa ya kufariki ikilinganishwa na wale waliozaliwa siku za juma,kulingana na watafiti.